SHERIA ZA SHABIKI HUKO QUATARY KUELEKEAKOMBE LA DUNIA 2022

.


Sheria za mashabiki ni zipi?


✅Usilewe hadharani

✅ Heshimu sheria na utamaduni wa nchi ya Qatar 🇶🇦 


Nasser al-Khater, mtendaji mkuu wa Kombe la Dunia la 2022, amesema


🗣️ “Kila mtu anakaribishwanchini Qatar"


🗣 "Maonyesho ya hadhara ya mapenzi hayafai".


"Ningependa kumhakikishia shabiki yeyote bila kujali jinsia, dini au rangi kuwa na uhakika kwamba Qatar ni mojawapo ya nchi salama zaidi duniani na ndio maana wote watakaribishwa hapa."


✅ Pombe itapatikana katika baa za hoteli na sehemu za mashabiki zilizochaguliwa. Pia itapatikana katika maeneo ya karibu na viwanja vya michezo.


Muda wa kumwagilia moyo na soka la Dunia umekaribia! 


 Na Mimi hua ni shabiki wa nchi zote zinazotoka Africa na bara la america ya Kusini kwa kina Argentina 🇦🇷 Brazil 🇧🇷 Uruguay🇺🇾 na wengine wanaotoka Kule na kombe la dunia mwaka huu lazima lirudi South America
 

Post a Comment

Previous Post Next Post