NIGERIA: MWANAUME AFARIKI BAADA YA KUFANYA MAPENZI KWA MIZUNGUKO 7



Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki wakati akiwa kwenye mashindano ya kufanya mapenzi na Mwanamke aitwaye Loveth


Baada ya mabishano ya muda mrefu baina ya wawili hao Davy aliamua kumpeleka Loveth kwenye hoteli moja iliyopo Ikotun, Lagos kwa ajili ya kuthibitisha nani anauwezo wa kufanya mapenzi zaidi


Inaelezwa kuwa Davy aliimudu vyema mizunguko ya awali kabla ya kuzidiwa na kufariki akiwa kwenye mzunguko wa 7


Loveth aliomba msaada kwa Meneja wa hoteli hiyo ambaye alimpeleka katika Kituo cha Polisi cha Ikotun huku mwili wa Davy ukipelekwa Hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi



Post a Comment

Previous Post Next Post