KANYE WEST ATANGAZA KUTOONGEA NA MTU KWA SIKU 30

😳 Kanye West ametangaza kwa siku 30 hatoongea kitu, hatotazama filamu za ngono, hatongonoka wala kunywa pombe


Hii imekuja kufuatia makampuni mbalimbali kusitisha nae mikataba ya kikazi kwa kinachoelezwa kutamka maneno yenye chuki dhidi ya wayahudi


Lakini hata kabla rapa huyo kwa muda sasa mdomo mwake unadaiwa kukosa breki kwa kuongea chochote kinachokatiza machoni pake na hivyo kutibuana pia na aliyekuwa mkewe(Kim Kadarshian) na familia yake


Pia baadhi ya marafiki wa Kanye wanadai kwasasa hayupo sawa anahitaji msaada wa wataalam huku wengine wakidai hashauriki japo mwenyewe anajichukulia pia hana tatizo
 

Post a Comment

Previous Post Next Post