SIMBA ILIKATAA UDHAMINI WA BILIONI 2 KUTOKA AZAM MEDIA

 

"Wakati azam tv inaingia mkubaliano mapya na yanga ya kurusha maudhui yao kupitia yanga tv , yanga walikubali kiasi cha tsh billion 2.4 kwa mwaka , wakati wa mwanzo walikuw wanapewa million 365 , pesa hiyo imewanufaisha sana yanga sc katika kufanya usajili wao



simba sc wao walikataa kupokea hela sawa na yanga sc kwa kuwa walidai wao ni bora kuliko yanga sc , wao wako mbali kuliko yanga sc , wao ni next level viongozi wa simba wakakataa hiyo two billion point four (2.4) ya azam tv , ikiwa kama simba sc wangekubali hii hela ingewasaidia kufanya usajili na mambo mengine wakati pesa zao zingine zikiendelea na masuala yao ya uwanja

Post a Comment

Previous Post Next Post