YANGA WAACHA TAFRANI TUNISIA



Rais wa Club Africain amejiuzulu nafasi yake mara moja baada ya timu yake kushindwa kuifunga Yanga SC na kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho.


 Pia, inaelezwa kuwa Bodi nzima ya Wakurugenzi itajiuzulu hivi karibuni kuanzia kutokana na matokeo yaliopatikana Jana 


Tatizo linaanzia kwenye kufungwa na timu dhaifu na under Dog tunasema sisi waarabu bodi wajihuzuru mara moja Mbwa kabisa unafungwa na timu ina Joyce mara Zawadi mara Aziza

 

Post a Comment

Previous Post Next Post