ORODHA YA WASANII 10 WANAOFANYA VIZURI ZAIDI KWENYE INDUSTRY YA MUZK TANZANIA

 Mambo vipi karibu tuangazie ORODHA ya WASANII kumi WANAOFANYA VIZURI ZAIDI kwa sasa 



Wasanii hao Ni 


DIAMOND PLATINUM


Ndo msanii 🌟 ambae amefanya vizuri zaidi na Kaz zake zote anazoziachia zinapendwa sana na watu na kufika mbali sana 

Pia ndo boss wa label ya wasafi 

HARMONIZE/konde boy


Ni msanii 🌟 anaepambana sana na amekuwa akiwasaidia vijana wenzake pia na yeye Ni mmiliki wa label ya konde gang 

Nyimbo zake zote anazoztoa zinahit na kufanya vizuri Africa mashabiki na Africa kwa ujumla

3.ALI KIBA 



King kiba Ni miongoni mwa artist s wanaozid kufanya vizuri kwenye tasnia hii ya muzk na nyimbo zake pia zikiendelea kufanya vizuri

4.RAYVANNY 



Ni msanii ambae yupo chini ya menejiment ya WCB

Ambae pia Yuko vizuri kwenye kazi zake zina mvuto na ujumbe unaozifanya zipendwe sana

5.MBOSSO  




Mbosso Ni miongoni mwa wasanii wanaozid kufanya vizuri amekuwa akiachia nyimbo kwa wingi na zina pendwa na kuhit 

6.NANDY  



The African princess nandy amekuwa akiachia Kaz zake na zinatrend sana 

7.ZUCHU 




Zuchu pia Ni mdada alietokea kupendwa sana na kukubarika kwa kipaji chake Cha muzk  

8.IBRAH 



Kijana anaekua kwa Kasi zaidi kwenye industry ya muzk nyimbo zake zinahit na kumpaisha zaidi 

9.MARIOO


10JUX 




Hao ndo nyota wanaozid kufanya vizuri kwenye muzk wa TANZANIA








Post a Comment

Previous Post Next Post