KARIM BENZEMA OUT OF WORLD CUP 2022


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Karim Benzema ataikosa michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha kwenye paja akiwa mazoezini


Vipimo vinaonyesha Benzema ana jeraha kwenye paja na atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu


Get well soon!

Post a Comment

Previous Post Next Post