UNDA WEBSITE YA BURE KUPITIA APP HII

Karibu uweze kuelimika Ni namna gani ya kutengeneza website ya Bure kupitia app hii ambapo nitaenda kukuelekeza namna ya kuunda website ya Bure 
Kwanza Kabsa website kwa lugha ya kiswahili Ni tovuti Ambayo unaweza ukawa unaweka vitu mbalmbali kwa ajiri ya watumiaji wa google kutembelea
Mfano wa website Ni kama
Monjrmediatz.com
Monjrmediatz.go.tz
Monjrmediatz.online
Monjrmediatz.website
Monjrmediatz.website
Hiyo ndo mifano ya website 
Moja kwa moja tuangazie app hii Ambayo unaweza tumia kutengeneza website ya Bure

Hii application inakusaidia kutengeneza website ya Bure Ambayo unaweza kutumia kwa namna yeyote ile na kwa kutumia computer au smartphone



Jinsi ya kuunda website au tovuti kwa Kutumia app hii
 
Kitun Cha kwanza unatakiwa kuingia kwenye play store
Na kudownload app ya WordPress na ukishamaliza unajisajiri kama unatumia computer au simu 


Unasajiri jina unalotaka kutumia kwenye website yako 
Na ukishajisajiri unakuwa tayar kutumia website YAKO 

Na utapewa dashboard kama hiyo ambapo utakuwa unaposti vitu unavyotaka
Monjrmediatz

Post a Comment

Previous Post Next Post