Bocco njoo kwa mkapa kesho


 Kocha mkuu wa timu ya taifa stars king Paulsen amesema kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Benin timu imejidhatiti kuakikisha wanashinda mchezo wa kesho pia nahodha  John bocco amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi

Post a Comment

Previous Post Next Post