PATA PESA KUPITIA FACEBOOK PAGE

 


Habari ndugu msomaji na mfatiliaji wa blog hii ya Monjrmedia Tanzania Leo nahitaji kukuwekea baadhi ya njia unaweza kufuata kutengeneza pesa kupitia ukurasa wako wa Facebook ambapo ukiwa na Facebook page yenye follows elfu 10 na kuendelea 



Moja kwa moja tuangazie Jinsi ya kutengeneza au kuunda ukurasa wa Facebook 

Ukifungua account yko ya Facebook Kuna sehem imeandikwa creat Facebook page bofya hapo Kisha unda page YAKO Chagua category ya ukurasa wako kama Ni wa michezo, biashara,au habari mbalmbali baada ya hapo creat page inamaana utakuwa umefanikiwa kuanzisha ukurasa wako💯💯 sasa kazi ipo kwenye kupata likes za ukurasa wako Ili ukipost kitu chochote upate watu wa kucomment kulike na kushare post za ukurasa wako kwa hiyo hapo Kuna njia mbili unazoweza kutumia Ili ukurasa wako ukue kwa haraka yaani uwe na follows wengi 

NJIA HIZO NI

   🌑kuboost page/ kulipia ukurasa wako utangazwe 

Hii ni njia ya haraka zaidi ya kupata likes nyingi zaidi ambapo utatangazwa kila sehem na unaweza kufikia 60,000 likes kwa siku 

🌑kusambaza na kushare link na post za ukurasa kwenye sehem mbalmbali km magroup

Hii pia Ni njia unayoweza kuitumia ikakusaidia kukuza ukurasa yaani kupata likes nyingi lakin njia hii hutumia mda mwing kupata follows 

UTATUMIAJE UKURASA WAKO KUTENGENEZA PESA AU KUFAIDIKA NA PAGE YAKO

Faida utakazo pata kupitia page YAKO utaweza kuomba matangazo mbalmbali ya biashara,na mengine ambapo yule atakae kupa tangazo pia atakulipa kulingana na makubaliano yenu 

Kwa hiyo hiyo itakuw Ni faida tayar kwako pia unaweza kuwa unapigiwa simu ukiombwa uwatangazie matangazo pia faida nyingne inakupa umaarufu mtandaon 

Kwa hiyo hizo ndo faida na njia ya kuunda ukurasa wako wa Facebook na ukanufaika nao


Asante endelea kufuatilia blog yetu hii pia waweza kutufollow 

Facebook, Instagram, Twitter kwa kuandika MONJRMEDIA

KWA SWALI LOLOTE NA MAELEKEZO AU MSAADA COMMENT au waweza kuntafuta WhatsApp +255712524330 🙏🙏🙏🙏🙏


 

Post a Comment

Previous Post Next Post