MCHEZAJI WA MANCHESTER UNITED POGBA AWEKA WAZI KUHUSU UASI ULIOKUWA UNAFANYWA NA KAKA YAKE

 


Paul Pogba aweka wazi kua kaka yake Mathias Pogba alikuwepo katika kundi lawaasi waliomteka huku wakiwa wamebeba bunduki wakimtaka awape Euro milioni 13. Pogba anasema kua kundi hilo aliwatambua baadhi yao ni marafiki zake wa utotoni Ndio wamefanya uhalifu huo akiwemo kaka yake wadamu kabisa . 


Paul Pogba anasema kwamba lazima wote wataadhibiwa Kwa mujibu wa sheria wala hatojali undugu wowote uliopo kati yake Na kaka yake Mathias Pogba 


Hata hivyo, kaka yake Mathias alisema kua anafahamu Siri nyingi za Pogba kwa hiyo ataweka wazi moja baada ya nyingine Na yawezekana Paul Pogba akafungiwa kucheza soka katika maisha yake 


“ Ameanza kusema uongo. Anafahamu vizuri kua nafahamu Siri zake nyingi Kwa hiyo ntazifichua zote ili watu wamjue Paul halisi Kwa jinsi alivyoibilisi kwa sababu akiwa uwanjani anaonekana mtu mwema lakini nje kidogo ni mtu mmbaya sana hivyo basi muda umefika ili watu wamtambuwe Paul Pogba halisi “ Alisema Mathias Pogba kaka yake Paul Pogba 


Baki nasi mdau ili upate updates zote kuhusu wawili hawa 

Subscribe chanel yetu ya YouTube 

👇

https://youtube.com/channel/UC7uh47xBkwNPvZKeq0YxShw

















Tuma ujumbe WhatsApp
👇👇👇👇👇👇
https://wa.me/message/5EUIQQ7HBE2OG1









Post a Comment

Previous Post Next Post