HAWA NDO WASANII 10 WALIOTREND SANA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII MWAKA HUU


 Habari karibu uweze kuwafahamu wasanii kutoka Tanzania Waliotrend sana mwaka huu sana sana kwenye mitandao ya kijamii



Moja kwa moja twende kuwaangalia wasanii hawa ni Nani na Nani



1. HARMONIZE 🐘



Huyu ni Msanii ambaye ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na mambo mbalimbali ambayo amekuwa akiyafanya kuanzia kwenye mziki mpaka nje ya mziki



Kitu kikubwa ambacho kimemfanya kuzungumzwa sana ni pamoja na mahusiano yake 

Na nguli wa bongo movie

Frida kajala 

Ambapo wawili hawa wamekuwa wakizungumzwa sana couple Yao kuonekana kunoga na kuwavutia watu wengi





2.DIAMOND PLATINUMZ 🦁



Msanii 🌟

diamond platinumz amekuwa akizungumziwa sana na watu wengi hapa TANZANIA na nje ya mipaka ya Tanzania 

Kitu kikubwa ambacho kimemfanya kuzungumzwa sana ni 

👉muzik wake

👉Hali yake ya uchumi 

Dp🦁 ameonekana ni Msanii tajiri kutoka Tanzania na hata Africa kwa ujumla 

Ambapo kupitia uwekezaji wake 

Na vitu vya thamani anavyovimiliki 

Yakiwemo

🕳️ Magari

🕳️ Makampuni

🕳️Na uwekezaji wake mkubwa kwenye industry ya muziki.



3.NANDY



Nandy amezungumziwa sana kutokana na 👉ujauzito wake 

👉 Pamoja na kufunga ndoa na mpenzi wake billnass 

Mi mambo ambayo yamemfanya mpaka sasa kutrend sana



4.MARIOO 




marioo amekuwa Msanii Bora zaidi tangu mwaka Jana ambaye amezungumziwa sana kwenye vinywa vya mashabiki wengi wa muziki hapa Tanzania 

Na ametrend kwa mambo mazuri



5.ZUCHU





zuchu amezungumziwa sana kutokana na ukaribu wake na star diamond platinumz 🦁 ambaye wamehusishwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi



6.RAYVANNY



rayvanny ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kutaka kujiondoa kwenye label kubwa ya WASAFI

Jambo ambalo liliwashangaza mashabiki wengi wa muziki hapa Tanzania na hata mipaka ya Tanzania.




7.SARAPHINA 



huyu ni binti mwenye kipaji ambaye amezungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na style yake ya uimbaji na muziki wake kwa ujumla jambo ambalo mashabiki wengi wa muziki wamekuwa wakimfananisha na 

Vanessa mdee


8.BABA LEVO




huyu ni Msanii ambaye ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kuwa chawa wa Msanii diamond platinumz 🦁

Ambapo amekuwa akimsifia sana 

Diamond Platnumz jambo ambalo limeleta kumdiss sana kwenye mitandao ya kijamii



9.BILLNASS 



Nenga ametrend kutokana na kuwa kwenye mahusiano na Msanii Nandy pamoja na kufunga ndoa 

Na kutajwa kuwa mme wa Nandy




10.BARNABA



Barnaba classic ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ukaribu wake na star diamond platinumz 🦁 na album yake ambaye amepata shavu kubwa na kutrend 




Hao ndio top 10 Waliotrend mpaka sasa kwenye mitandao ya kijamii Toa maoni yako ✍️✍️✍️


NAOMBA UGUSE LINK HII

👇👇https://youtube.com/channel/UC7uh47xBkwNPvZKeq0YxShw

👆👆👆


 USUBSCRIBE


 CHANEL YA MON JR MEDIA YouTube


Ili usipitwe na uhondo pamoja na taarfa mbalimbali


🙏🙏



Post a Comment

Previous Post Next Post