TUMIA NJIA HII RAHISI NA YENYE UHAKIKA KUJIPATIA KIPATO MTANDAONI


 Karibu na ASANTE Kwa kutembelea Mon Jr media blog 


Moja kwa moja nkuelekeze namna ya kutumia njia hii inayoaminika KUJIPATIA KIPATO MTANDAONI hata ukiwa umelala

Zimekuwepo njia nyingi zikitajwa za kutengeneza pesa lakini mwilishowe zimeonekana kama utapeli kulingana na watu wengi kushindwa kutoa pesa zao au kupata malipo 


Nmekuletea njia hii inayoaminika sana ambayo ukiweka jitihada unaweza kufika mbali


Hii Inatumika kwa mtu yeyote yule 



KWANZA KABISA UNATAKIWA UWE NA VITU VIFUATAVYO


∆ Uwe mtumiaji wa mitandao ya kijamii

mitandao hii ni kama

🕳️ Facebook

🕳️ WhatsApp

🕳️ Instagram

🕳️Twitter

N.k

🕳️Pia kwa wale wenye Website mbalimbali



KUJISAJIRI

moja kwa moja utaenda kujisajiri kwa kugusa link hii

👇👇👇

https://publishers.adsterra.com/referral/iszqN7Zsd7



Baada ya hapo utaletewa sehemu ya kujaza 



Utaweka 

🕳️ Email

🕳️Jina

🕳️ Password



Utachagua unataka utumie njia gani kama ni 

👉 Kusambaza link

👉Kiafrika

👉Kuweka kwenye Website wenye nazo


Baada ya hapo utaletewa dashboard yako ikiwa hivi

👇






Utaangalia upande wa kushoto utachagua njia yeyote ya kutumia

🤑🤑N.B kama una Website 

Utapewa code za kuweka kwenye Website YAKO





UNAPATA PESA💰 KWA NJIA ZIPI


Kuna njia nne za kupata pesa kupitia platform hii

1.PER CRICK

hii ni njia ya Kusambaza link kwa watu wako popote pale sana sana mitandao ya kijamii hapa Walau jitahidi uwe na magroup ya Facebook na WhatsApp 

Ambapo utaweza kufikia watu wengi

Kwa kusambaza hiyo link utalipwa kwa idadi ya👉Clicks (mibofyo)



ambapo wakibofya wengi malipo yanaongezeka


2.KUARIKA MARAFIKI KUPITIA LINK

hapa utapewa link kwenye dashboards yako

Utawaarika marafiki na utapewa malipo



3.KUWEKA CODE ZA HTML 

hii ni kwa wenye Website na blog 

Ambapo utamonetize blog yako 

Baada ya muda utapewa code za kuweka 

Kwenye 

Head

< >/




Baada ya hapo utakuwa umeweza kutumia njia hii kupata pesa


MAKALA IJAYO NTAKUELEKEZA JINSI YA KUTOA HIYO PESA 💰 AMBAYO USHAITENGENEZA.... endelea kufuatilia

🙏🙏 Asante 

Kwa kusoma 

Kwa


Kwa ushauri weka maoni yako

👇👇👇👇👇👇

Post a Comment

Previous Post Next Post