MANDONGA AAHIDI VITA KWA HARMONIZE KISA KAJARA

 



Karim Mandonga amesema kuwa ni muda mrefu alikuwa anammezea mate Mpenzi na Meneja wa Harmonize, Kajala Masanja, Mandonga anadai kutokea kumpenda sana Kajala na amekuwa akimmezea mate kwa muda mrefu. Bondia huyo ameongeza kuwa, muda wa kumchukua umefika na yupo tayari hata kwa kupanda ulingoni na Harmonize ili itakayeshinda amchukuwe Mama huyo mwenye Mtoto mmoja.


"Mimi nilikuwa nammezea mate kwa muda mrefu Kajala ametokea Kuuteka moyo wangu kwa sasa sataka kumchukua hata kwa kupanda ulingoni na Harmonize"- alikaririwa akisema Karim Mandonga


ENDELEA KUFUATILIA MON JR MEDIA 

SUBSCRIBE CHANEL YA MON JR MEDIA YOU TUBE

GUSA 👇👇👇

https://youtube.com/channel/UC7uh47xBkwNPvZKeq0YxShw

Post a Comment

Previous Post Next Post