MAZITO YATOKEA Baada ya msanii Diamond Platnumz kupewa ubalozi na kampuni ya DEXANETA na kua brand ambassador

 

Baada ya msanii Diamond Platnumz kupewa ubalozi na kampuni ya DEXANETA na kua brand ambassador wa kampuni hiyo kwa lengo la kuitangaza Application inayoitwa DEXANETA ambayo inapatikana PLAYSTORE


Tayari msanii Diamond Platnumz ameanza kufanya matangazo ya Application hiyo kwa kuhamasisha watu ambao wapo katika mahusiano ya kimapenzi waweze kuingia PLAYSTORE waweze kuitafuta na kudownload Application hiyo ya DEXANETA


Tunafahamu kuwa mtu yoyote akiwa nayo hii Application ya DEXANETA kwenye simu yake kisha ukaunganisha namba ya simu ya mpenzi wake katika hiyo Application basi meseji (SMS) zote za mpenzi wake anazotuma na anazotumiwa unakua unazipata kupitia Application hiyo ya Dexaneta pasipo mpenzi wako kufahamu kama meseji zake unaziona.


Application hii ya DEXANETA inapatikana PLAYSTORE na imekua ikitumiwa sana na watu wengi hususani ambao wapo katika mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kufuatilia mawasiliano ya meseji za wapenzi wao


Kupitia ukurasa wa Twitter msanii Harmonize ameandika maneno haya baada ya msanii Diamond Platnumz kupewa ubalozi huu


"NI AJABU SANA KWA MSANII MKUBWA KAMA WEWE KAKA YANGU, KUHAMASISHA WATU WATUMIE APPLICATION ILI WANASE MESEJI ZA WAPENZI WAO HUONI KAMA UNAHATARISHA MAHUSIANO NA NDOA ZA WATU? HIYO APPLICATION ITASABABISHA NDOA ZA WATU KUVUNJIKA


TUBU HARAKA SANA KAKA, UMEBAKIZA SIKU 14 TU ZA KUISHI"


NA HIYO APPLICATION IKIWEZEKANA IFUTWE HUKO PLAYSTORE HAIFAI


Nini maoni yako kuhusiana na hili tukio linalo trend kwasasa mitandaoni baada ya post ya msanii harmonize?


👍👍👍👍⚡⚡

Mamb vp mtu wangu wa nguvu najuwa hujawahi kuniangusha 

Naomba uguse hii link usubscribe chanel yangu hii 

⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡

https://youtube.com/channel/UC7uh47xBkwNPvZKeq0YxShw

Post a Comment

Previous Post Next Post