🚨 KILA STAA KULIPA ELFU 10 KWA MWEZI


Mkutano wa TFF umeazimia kuanzia Januari mwakani mchezaji wa Ligi Kuu hatoruhusiwa kucheza bila kusajiliwa na kulipa ada katika Chama cha Wachezaji SPUTANZA


Kila mchezaji anatakiwa kulipa Sh 120000 kwa mwaka ambapo kila mwezi ni Sh 10,000.



Post a Comment

Previous Post Next Post