LUIS MIQUISSON KURUDI SIMBA


 

Hii ni baada yakuhojiwa na jaririda kubwa la sports (African sports) hapo jana, hivyo inaonekana kuna shida iliyopo na club yake, amesema; 👇👇


"📌 Wachezaji tulio wengi wetu tunadhani mafanikio kwenye soka letu nikucheza soka nje ya nchi yako kitu ambacho sicho kabisa 


📌 Hakika nawaambia mafanikio yalio makubwa nikuhakikisha timu yako hiyo ndogo unayochezea inapata mafanikio kwakuipambania vyakutosha ili ije ifikie hadhi zawakubwa


📌Soka lanje nigumu ndugu zangu kuna changamoto nyingi nje yasoka huku, ikiwemo ubaguzi n.k


📌 Mimi binafsi nishaapitia experience hiyo nabado naipitia


📌 Licha ya kuwa tunavyo vipaji tena vikubwa lakini hatupati namba nakuaminiwa moja moja


Post a Comment

Previous Post Next Post