LIGI KUU TPL KUENDELEA WAKATI WA KOMBE LA DUNIA



"Hatutasimamisha ligi, maama sasa hivi natumiwa meseji tusimamishe ligi lakini wakija watu wakapigwa viporo natukanwa mimi ... Baadhi wananitishia kwamba watanishitaki (FIFA) nifungiwe"

"Ligi yetu haitasimama wakati wa kombe la Dunia kwa sababu hatuna timu inayoshiriki huko" -Wallace Karia, rais wa TFF

 

Post a Comment

Previous Post Next Post