MJUE PAKA MZEE ZAIDI DUNIANI


 


FAHAMU Paka mweusi wa Uingereza anayetambulika kwa jina la Flossie ametambuliwa rasmi na kitabu cha Guinness World Records kama paka mwenye umri mkubwa zaidi duniani akiwa na miaka 27


Mmiliki wa Paka huyo Vicki Green amesema tayari amepoteza uwezo wake wa kuona na kusikia japo afya yake ni njema na hana tatizo la kiafya.

Post a Comment

Previous Post Next Post