MORRISON ALICHEZA NA MKWASA?


Mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amezua gumzo kwenye ukurasa wake wa Instagram baada ya kuposti picha yake yenye nukuu inayoashiria kuwa aliwahi kucheza soka kwenye timu moja na kocha wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa.


“Siku za nyuma mnamo 1963 nilipocheza timu moja na Legend CHARLES BONIFACE MKWASA 💛💚” ameandika Morrison


Morrison amepokea muitikio tofauti kwa wadau akiwemo Rais wa Yanga Injinia Hersi Said aliyejibu “back in days 😂😂"


Morrison akamjibu “Nina uhakika unakumbuka mechi ile ya Julai 27 1964? Au ulikuwa bado hujazaliwa?”


Ni kweli Morrison alicheza timu moja na kocha wa sasa wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa?


Subscrbe chanel yetu ya YouTube Ili usipitwe na Habari zote

Gusa hapa

👇

https://www.youtube.com/@monjrmedia

 

Post a Comment

Previous Post Next Post