UJUMBE MZITO WA DIAMOND PLATINUM KWA ZUCHU

Star Wa Muziki Barani Afrika SIMBA 🦁 Diamondplatnumz Ameandika Ujumbe Huu Katika Kumtakia Msanii Wake Zuchu Heri Ya Siku Ya Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kwake (Nov 22) 👇


"Wiki Hii Tunasherehekea Kuzaliwa Upya Kwa Mrembo Mwenye Kipawa, Ubunifu, Upendo, Kipaji na Mnyenyekevu zuchu Asante Kwa Kuwafanya Wasafi, Waswahili, Wanawake Na Bara Zima La Afrika Kujivunia. Ni faraja kuona ulipoanzia hadi sasa kufikia kuwa miongoni wa Icons kwenye Bara la Africa.. Siku zote kumbuka, kila kazi ina mitihani na changamoto zake....jitahidi kuipokea kila inapokuja na kutafta njia sahihi ya kuishinda, maana tafsiri sahihi ya mtihani ni Kupanda daraja baada ya kufauru...Mwenyez Mungu akupe baraka na akulinde katika Maisha na safari yako hii ya kuchangia kuonesha Dunia kua WaAfrica tumebarikiwa kipaji kias gani… Remember Lion Loves you always 🌹❤️🎂🍾" - diamondplatnumz 🦁
 

Post a Comment

Previous Post Next Post