HIZI HAPA REKODI ZA URENO KABLA YA CR7

Taifa la Portugal (Ureno) Kabla ya Cristiano Ronaldo kuanza kucheza pale


✅Hatua kubwa Ureno 🇵🇹 waliowahi kufika kombe la dunia kabla ya Ronaldo ni Kuishia mshindi wa tatu 3


✅Hawakuwahi kubeba kombe lolote lile kabla ya Ronaldo 


✅Hatua ya kubwa waliowahi kufika michuano ya Euro ni kuishi mshindi wa tatu


Taifa la Portugal baada ya Cristiano Ronaldo kuanza kulitumikia👇🏾 


✅Wamefuzu kombe la dunia mara Tano (5) Mfululizo chini ya Mwamba Cristiano Ronaldo


✅wamefuzu michuano ya Ulaya maarufu kama Uefa Euro League mara Tano(5) Mfululizo chin ya Ronaldo 


✅Chini ya Cristiano Ronaldo Ureno wamebeba makombe mawili 2 Euro na Uefa Nation League huku Ronaldo akiwa Top Scorer wa michuano hiyo 


Eric Ten Hag alimkosea heshima Manchester United na Leo Ureno na Kocha wao Santos wanamkosea heshima The Goat kitu ambacho sio sahii kwanini asianze kwenye Kila mechi kama anavyotaka mbona Mwamba sisi tunaona bado yumo kabisa.
 

Post a Comment

Previous Post Next Post