FEI TOTO ASHAURIWA KUONDOKA YANGA

NGASA AMEMSHAURI FEISAL KUHAMA YANGA NA KWENDA TIMU NYINGINE.


Mshambuliaji wa zamani wa Young Africa's Mrisho Harufan Ngasa alicheza Yanga Kwa mafanikio makubwa ambae pia ndie mfungaji wa muda wote wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.


Amemshauri kiungo mshambuliaji wa Young Africa's Feisal Salum kuondoka Yanga na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine kwa kile anachodai kua kucheza Yanga kutakupa umarufu lakini hakutakupa maisha pesa watakuja kuchukua wageni huku wewe ukiishia kusema unaipenda Yanga.


Klabu ya Azam Fc imepanga kuweka mezani kiasi cha Shilingi Million 350 kama Usajili na mshahara wa Shilingi Million 13 kwa Kila mwezi na ahadi ya kuwajengea Wazazi wake jumba la kifahari kama atajiunga na matajili hao kutokea Chamaz
 

Post a Comment

Previous Post Next Post