MTOTO WA RONALDO KUTIMKIA MADRID

Mtoto wa Cristiano Ronaldo , "Cristianinho" yani Cristiano mdogo kama ambavyo amezoeleka kuitwa anaripotiwa kutaka kurejea Real Madrid baada ya Baba yake kuondoka Manchester United. 


Takwimu zake msimu huu ni.


Michezo 23 

mabao 58 

Assist 18 


Licha ya kuwa na miaka 12 amekuwa akicheza timu za vijana U-14.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post