MVURUGIKO WA HOMONI

 *MVURUGIKO WA HORMONE IMBALANCE👇*

              


Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 22 na 50, lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homorn kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.


VYANZO/SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI👇


Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:


-Uwepo wa sumu mwilini

-Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

-Umri ukienda sana

-Kukoma kwa hedhi

-Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku

-Uzito mkubwa

-Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

-Msongo wa mawazo

-Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

-Upungufu wa lishe mwilini

-Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

-Utoaji wa mimba

-Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

-Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)

"Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa"


DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI


Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:

- Ukavu ukeni

- Maumivu wakati wa tendo la ndoa

- Kutoa jasho usiku

-

Post a Comment

Previous Post Next Post