OMMY DIMPOZ MSANII WA KWANZA KUTOKA TANZANIA KUPOSTIWA KWENYE UKURASA WA MANCHESTER UNITED

Ni baada ya Msanii KUTOKA TANZANIA ommy dimpoz ambaye amepiga picha na mastaa wakubwa wa soka duniani akiwemo Cristiano Ronaldo, David de Gea nk 


Pia ommy dimpoz amekuwa Msanii wa kwanza kutoka Tanzania KUPOSTIWA kwenye page ya Manchester united


Pia usisahau kutembelea pages zetu mbalimbali 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
 

Post a Comment

Previous Post Next Post