KUHIMARISHA AFYA YA UZAZI, STAMINA, UIMARA WA UUME NA HISIA




_Kuimarisha Afya ya uzazi ,stamina ,uimara wa uume na hisia ,Fanya mambo yafuatayo*_


🌌Tumia kitunguu swaumu punje 3-6 walau mara tatu au nne kwa wiki..Kata vipande vidogo vidogo halafu meza na maji au maziwa mtindi kupunguza ukali wa harufu


🌌Tumia chai ya tangawizi + mchaichai +mdalasini + Asali kila siku asubuhi


🌌Usitumie ngano kama kiamsha kinywa.Badala yake kula magimbi ,mihogo mchemsho au boga ,mayai ya kienyeji,mboga za majani nk


🌌Tumia mbegu za maboga ,korosho ,tende,karanga kila siku.


🌌Kula ndizi mbivu ,parachichi ,tikiti maji na tango kila siku


🌌Hakikisha kila siku unakula mboga za majani..usizipike sana.Vema ukaweka mafuta ya nazi au mzeituni kwenye mboga zako


🌌Fanya mazoezi kila siku..zoezi la kegel ni muhimu san


🌌Kunywa maji ya kutosha


🌌Tumia pia maziwa kila mara ,samaki ,mayai nk 


🌌Tumia virutubisho.Ni muhimu sana kwani hukupatia mahitaji mengi ya viinilishe kwa mapema


*NOTE*


✨Kama changamoto yako ni ya muda mrefu,kuwa mvumilivu.Matokeo yanakuja taratibu sana


✨Kama una shida zingine kama uzito ,kisukari ,presha ,vidonda vya tumbo ,bawasiri ,kukosa choo nk ni vema tuka anza kushuhulika na hayo kwanza maana huwezi kuwa imara kitandani ilihali mwili unalalama na maumivu. 


1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post