JUA KUHUSU PLATFORM ZA KUJIPATIA KIPATO MTANDAONI


Habari ndugu msomaji karibu uweze kuzijua njia za uhakika kabisa ambazo zitakusaidia kupata pesa mtandaoni Kuna watu wanajitahidi kutafuta pesa kupitia platform mbalimbali ambazo kwa wingi wanalipia kuactivu account na nyingine kwa kujisajiri Bure lakini ni muhimu zaidi ukafahamu kuwa hizo ni nusu utapeli au utapeli kabisa na kupoteza pesa au mda wako wanachohitaji wao ni kutumia wewe kama chambo Cha kuwapata watu wengine ambapo utaambiwa uwaarike marafiki Ili upate malipo jambo ambalo Lina kuwa gumu kwa namna moja ama nyingine kwa sababu kuja kumuaproach mtu ajiunge tu ni Kazi kubwa licha ya Hilo Kuna kumuaproach Ili alipie account yake iwe active Ili nawewe uongezewe chochote kwenye dashboard yako. Pia kwa upande platform za kujiunga Bure bila hata activation fees hizi kaa nazo mbali ukiona mtu anakupa link kataa hawa sana sana watakupotezea mda wako ambao ungefanya Kazi zako nyingine kwa sababu wanakutumia wewe huwaingizie watu ynakuwa km mchezo ambapo wanakuwekea vigezo mbalimbali mfano unaambiwa ukifikisha $ 200 (Dora 200 za kimarekani) ndo utapata malipo unajitahidi unaifikisha then unawekewa kigezo kingine kigumu mfano eti waarike marafiki 30 ndo ulipwe vile vile unaweza kujitahidi tena ukawaarika ukiomba malipo unaletewa kigezo kingine yaan haviishi mwisho wa siku utakuta umearbu mda wako na bando lako kwa kutumikia makampuni ya uongo na utapeli yote kwa yote Kuhusu kutengeneza pesa mtandaoni ni kweli lakini unatakiwa ujue unapitia njia zipi kutengeneza Kupitia mtandao watu wanaendesha maisha yao vizuri wanajenga wananunua magari nk lakini Kuna njia ambazo unatakiwa ufuate






 Endelea kufuatilia website hii kipindi kijacho tutakuletea makala kuhusu njia nzur kabisa za kujipatia kipato mtandaoni Endelea kufuatilia  pia kweny social network kwa ushauri Njoo WhatsApp kwa kugusa

Gusa link hii 

👇👇👇

https://wa.me/message/5EUIQQ7HBE2OG1

Usisahau kufollow Mon Jr media kweny Facebook, Instagram, Twitter na YouTube kwa kuandika Mon Jr media



Post a Comment

Previous Post Next Post