MAMBO 20 YANAYOWEZA KUMFANYA AWE WAKO DAIMA NA ASIKUACHE


.


 1. Usimuahidi mbingu na nchi wakati huna.


 2. Yeye ni mtoto wako, mchukue kama mtoto mchanga


 4. Mbusu kwenye paji la uso wake


 5. Kila anapokuambia amekumiss, na haupo karibu, jitahidi sana umuone siku hiyo.


 6. Cheza naye kama rafiki yako


 7. Kila anapokuambia, baby samahani, jaribu kusamehe/sahau.


 8. Tenga muda maalum naye na mwambie jinsi alivyo mrembo.


 9. Usimfanye alie.


 10. Akilia, busu machozi yake na na uyafute kwa ulimi na mwambie yeye ni mrembo.


 11. Mtambulishe kwa marafiki zako.


 12. mpigie simu kama mara mbili au zaidi kila siku.


 13. Mshike kiunoni huku mkitembea pamoja ili kumfanya ajisikie analindwa.


 14. Mwambie jinsi alivyo wa pekee.


 15. Usimvishe pete kama huna uhakika wa kumuoa, kwa sababu wanawake kwa kawaida huumia na wanaweza kujidhuru.


 16. Usingoje hadi akuombe pesa, MPE.


 17. Mtumie SMS asubuhi na umwambie umemkumbuka.


 18. Usimpige kwa fimbo, bali hakikisha unampiga vema kitandani.


 19. Mrekebishe faraghani anapokosea hadharani.


 20. Usimnunulie dhahabu bali mnunulie mawazo yako na aishi nayo..

Post a Comment

Previous Post Next Post