MISIBA 9 ILIYOISIMAMISHA TANZANIA🇹🇿




Tanzania kama taifa tumepata misiba mingi sana ya viongozi wa serikali, dini, siasa, wasanii, wanahabari na watu wa kawaida lakini miongoni mwao kuna vifo ambavyo kwa namna yake vilipotokea Tanzania ilizizima na kuacha majonzi makubwa sana baadhi yao walikufa na watu pia (waombolezaji).


1) Edward Moringe Sokoine - 12 April 1984.


2) Mwl Julius Kambarage Nyerere - 14 October 1999.


3) Dr Omar Ally Juma - 4 July 2001.


4) Amina Chifupa - 26 June 2007.


5) Steven Charles Kanumba - 7 April 2012.


6) Rugemalilah Mutahaba - 26 February 2019.


7) Reginald Abraham Mengi - 2 May 2019.


8) Benjamin William Mkapa - 23 July 2020.


9) Dr John Pombe Joseph Magufuli - 17 March 2021.


Nafsi zao ziendelee kupumnzika mahala pema peponi🙏🕯️🕯️🕯️🤲


Mdau kifo cha nani hapo kilikugusa zaidi ?? 

Post a Comment

Previous Post Next Post