MTOTO WA DAVIDO AFARIKI DUNIA

 BREAKING: Msanii wa muziki kutokea Nigeria @davido amwmpoteza Mtoto Wake Wa Kiume “Ifeanyi Adeleke” 


Mto wake @davidifeanyiadeleke amefariki akiwa na umri wa miama mitatu na kwa mujibu wa taarifa za awali zinasema kuwa Ifeanyi amefariki akiwa kwenye bwawa la kuogelea (Swimming Pool) Siku Chache baaday ya Birthday Yake Oktoba 20 hadi kufariki siku ya Jumatatu Oktoba 31


.

Post a Comment

Previous Post Next Post