AUCHO KUONDOKA YANGA

 .



Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumamosi ya December 3,2022 limeripoti Kuwa Kiungo wa Kimataifa wa Uganda 🇺🇬 na Klabu ya Yanga SC 🇹🇿,Khalid Aucho 🇺🇬 amegoma kuongeza Mkataba Mpya ndani ya Kikosi Cha Yanga na anataka kuondoka Klabuni hap


Mkataba wa Aucho 🇺🇬 na Yanga unatamatika Mwishoni mwa Msimu huu na inaelezwa Kuwa Tayari amepata ofa nono kutoka Kwa Moja ya Klabu inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Saudi Arabi




Post a Comment

Previous Post Next Post