NIMEIBIWA MILLION 30 OMMY DIMPOZ

 

Kila mwanadamu huumbiwa matatizo na huwa yanakuja kwa wakati tofauti, wapo wanaokaa miaka, siku, masaa na wengine matatizo hufululiza kwenye maisha yao pengine


Star wa Muziki wa Bongo Fleva ommydimpoz ameelezea kuibiwa Dola za Kimarekani Elfu 30 ambazo ni sawa na pesa za Kitanzania Milioni 30 kupitia ukurasa wake wa Instagram


OmmyDimpoz ametoa habari hii ikiwa bado yupo kwenye maombolezo ya kufiwa na aliyekua Mpenzi wake na kuelezea jinsi ambavyo hata hajapoa na msiba tayari ameibiwa kiasi hiko kikubwa cha fedha


ommydimpoz ameandika kupitia Insta Story akielezea kuwa ameamua kumshtakia Allah na wala hajaelezea zaidi kiasi hiko kikubwa cha pesa kimepotea kwa mazingira ya aina gani

Post a Comment

Previous Post Next Post