MORRISON KUVUNJA MKATABA YANGA

 


Kiungo Wa Yanga raia wa Ghana Bernnard Morrison Ambaye hayupo na kikosi kwa sasa inatajwa kuwa amevunja mkataba na Klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani Dar es salaam 


Morrison inatajwa kuwa amevunja mkataba huo ambao ulikuwa umebakia mwaka 1 Na miezi 6  


Morrison kwa sasa ni mchezaji Huru na kuna Uwezekano mkubwa Akaendelea kubaki katika Ligi ya Tanzania lakini kwa Sasa hatokuwepo Mjini 😃



 

Post a Comment

Previous Post Next Post