MCHEZAJI WA 🇲🇦MOROCCO AMEOMBA RADHI WAA AFRICA



 
Naomba radhi kwa kusahau kulitaja Bara la Afrika katika mahojiano yangu ya jana, baada ya mechi… Asanteni Waafrika wote kwa kuwa nyuma yetu… Ushindi huu ni wetu sote!… Tunajivunia kuwakilisha ndugu zetu wote wa Bara la Afrika!… Tupo pamoja!.. " -

 Sofiane Boufal, Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Morocco.

Post a Comment

Previous Post Next Post