HARMONIZE AOMBA RADHI


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameomba radhi kutokana na maudhui ya wimbo wake mpya wa Weed language ambao umekiuka maadali na tamaduni za Kitanzania.

Kupitia Insta Story yake Harmonize pamoja na uongozi wake wameomba radhi na kueleza kuwa wameamua kuuondoa wimbo huo kwenye platform zote za muziki na watajitahidi kutunga nyimbo zitakazoendana na maandili na tamaduni za Kitanzania.



 

Post a Comment

Previous Post Next Post