ANJERA KUJITOA KONDE GANG


 #tetesi 

Inasemekana hivi sasa Anjella sio Mwanamuziki chini ya Konde Gang. 


Inasemekana amenyang'anywa kitambo ile Crown aliyopewa na Harmonize.


Pia mpaka sasa Harmonize hajatimiza ahadi ya kumtibu Anjella.


Tetesi za anjella kumalizana na Konde Gang huenda zikawa za kweli maana mpaka sasa Anjella haja-post lolote kuhusu Album ya Harmonize wakati Ibraah na watu wengine wa pale Konde Gang wame-share Cover ya Album hiyo.


Msione watu wanafuraha kwenye mitandao ya kijamii, nyuma ya pazia wanahuzuni.

Post a Comment

Previous Post Next Post