ANUNUA JENEZA KAMA BEGI LA KUTUNZIA NGUO




Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter amezua gumzo baada ya wanamitandao kuona jeneza ndani ya nyumba yake.


Katika tukio lisilo la kawaida, picha ya sebure ya jamaa huyo ambaye bado hajatambulika ni nani ilisambazwa kwenye mtandao wa Twitter ikimuonyesha akiwa ameketi juu ya kochi lake huku mbele yake kukiwa na jeneza lilikuwa chini sakafuni kwenye kona.


Alipiulizwa kazi ya jeneza hilo nyumbani kwake ni ipi haswa, kwa ujasiri mkubwa jamaa huyo amejibu kuwa alinunua kwaajili ya matumizi ya kuhifadhia nguo.

Post a Comment

Previous Post Next Post