HAMISA MOBETO ALALAMIKA YEYE NA TANASHA DONA KUPUUZWA NA KUDHARAURIWA NA ZARI

😳 Hamisa Mobetto alalamikia yeye na Tanasha kupuuzwa na kudharauliwa na Zari 


Mitandao hasa ya kiingereza nchi kadhaa imebeba habari ikimnukuu Hamisa Mobetto akidaiwa kusema kwamba yeye na Tanasha ni matamanio yao kuwaona pamoja watoto wao wote waliozaa na Diamond Platnumz wakiwa karibu kama ndugu lakini kikwazo kikubwa ni Zari ambaye hana taimu nao kabisa


"Mimi na Tanasha tupo vizuri, tunawasiliana sana lakini tatizo ni mwenzetu(Zari), anatudharau na pengine hiyo ndio sababu hataki hata watoto wetu wawe karibu, lakini yote ni sawa tu" amedaiwa kunukuliwa mrembo huyo wa kibao cha Madam Hero


 Mobetto na Tanasha kwa nyakati kadhaa washaonekana pamoja ikiwemo kushirikiana kikazi
 

Post a Comment

Previous Post Next Post